News & Updates

23-11-2021 1:08 pm

Tuzo za Wanafunzi Bora wa Shahada Mahafali ya Kumi na Tano.

Mkuu wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) anawatangazia wanafunzi na wadau wote wa DIT kuwa sherehe za utoaji tuzo kwa wanafunzi waliofanya vizuri katika masomo yao 2020/2021, zitafanyika Jumatano, tarehe 1 Desemba, 2021 Katika ukumbi wa ASA DIT. Read More...

Read All News